Вход на сайт

Просмотр новости

Найдите то, что Вас интересует

Kanisa Katoliki Zanzibar lawezesha wanawake mikopo isiyo na riba

Дата публикации: 19-07-2026 15:13:19

Kanisa Katoliki Jimbo la Zanzibar limeanzisha mpango wa kuwawezesha wanawake wajasiriamali wa Wilaya ya Kaskazini B, Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa kuwapatia mafunzo ya ujasiriamali na mikopo isiyo na riba, likilenga kuwaongezea uwezo wa kiuchumi na kupunguza utegemezi katika familia.

Схожие новости

#Наименование новостиТональностьИнформативностьДата публикации
1Wahitimu kidato cha sita waitwa maonesho ya elimu ya juu Zanzibar5719-07-2026
2Wadau wataka mipango ya tabianchi izingatie jinsia0520-02-2026
3SMZ yabadilisha mbinu ufuatiliaji huduma za afya kuimarisha uwajibikaji0520-07-2026
4Kutoka 'ombaomba' hadi kumiliki bajaji2620-07-2026
5Vifaatiba vya Sh95 milioni kuimarisha kambi ya matibabu0520-07-2026
6Tanzania yaanza kupigania chakula chake kitambulike kimataifa0520-07-2026
7Wakurugenzi wa Halmashauri wabebeshwa zigo la mazingira0717-01-2026
8CookFund yachochea mapinduzi ya nishati safi, wanafunzi 62,000 wanufaika5726-03-2026
9Serikali yaweka mfumo rahisi kwa wazalishaji5720-07-2026
10Патриарх Кирилл призвал женщин, не готовых воспитывать детей, отдать их РПЦ вместо аборта0013-05-2021

Классификация: Национальные проекты. Схожих патентов: 0. Схожих новостей: 10. Тональность: 6. Информативность: 8. Источник: www.mwananchi.co.tz.