Wahitimu wa kidato cha sita wamehimizwa kutumia Maonesho ya Wiki ya Elimu ya Juu Zanzibar 2026 kujipatia taarifa sahihi kuhusu udahili wa vyuo vikuu, mikopo ya elimu na fursa za udhamini zinazotolewa na taasisi mbalimbali za ndani na nje ya nchi.