Вход на сайт

Просмотр новости

Найдите то, что Вас интересует

Huu hapa mziki wa Yanga, kumpa jeuri Manqoba

Дата публикации: 21-07-2026 15:47:58

Dar es Salaam. Leo, Jumanne, Julai 21, 2026, Yanga imetambulisha rasmi wasaidizi wanne ambao Kocha wao Mkuu mpya, Manqoba Mngqithi alioingia nao klabuni hapo kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo.
Wasaidizi hao ni Kagisho Dicgacoi, Simo Dladla, Yardaan Valodia na Gleg Etafia.
Dladala atakuwa kocha msaidizi namba moja, Dicgacoi atakuwa kocha wa mipira ya kutenga, Valodia atakuwa mtathmini wa viwango na video huku Etafia akiwa kocha wa makipa.
Wasaidizi hao wanne wa Manqoba wanaonekana kuwa na uzoefu wa kutosha wa nafasi zao jambo ambalo linaweza kuwa msaada mkubwa kwa Yanga kama mambo yatawaendea vizuri.
Dladla ana uzoefu wa miaka sita ya ukocha akianzia timu ya Richards Bay aliyoitumikia kuanzia 2020 hadi 2021 akiwa kocha mkuu na baada ya hapo akawa kocha msaidizi wa Moroka Swallows kuanzia 2021 hadi 2022.
Kuanzia 2022 hadi 2023 aliinoa Uthongath FC akiwa kocha mkuu na 2023 hadi 2025 akawa kocha mkuu wa Maritzburg United kisha 2025 hadi mwaka huu akawa kocha msaidizi wa Golden Arrows.
Akiwa kocha wa Maritzburg, amewahi kushinda taji moja la ABC Motsepe Championship.
Kocha wa mipira ya kutenga, Kagisho Dicgacoi, alikuwa sehemu ya kikosi cha timu ya taifa ya Afrika Kusini 'Bafana Bafana' kilichoshiriki Kombe la Dunia 2010 na ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika na kimataifa alioupata kwa kucheza na kufundisha soka.
Kabla ya kujikita na ukocha, Dikgacoi aliyestaafu rasmi soka la kulipwa mwaka 2018, ndani ya Afrika alichezea klabu za Bloemfontein Young Tigers na Golden Arrow za Afrika Kusini kwa miaka mitano.
Baada ya hapo alicheza katika klabu tofauti za Ligi Kuu England (EPL) pamoja na Ligi Daraja la Kwanza England (Championship).
Timu hizo za England ambazo Dikgacoi amewahi kuzichezea kwa nmyakati tofauti ni Fulham, Crystal Palace na Cardiff.
Baada ya kuzitumikia timu hizo, mwaka 2018 alirejea timu yake iliyomuibua ya Golden Arrows na mwaka huohuo akastaafu rasmi soka kisha akageukia ukocha.
Safari yake ya ukocha ilianzia katika timu ya Royal Eagles ambako alikuwa kocha msaidizi na baadaye akawa kocha mkuu wa Witbans Spurs, zote zikiwa timu za Ligi Daraja la Kwanza Afrika Kusini na ndipo baadaye akarudi tena Golden Arrows kuwa msaidizi wa Manqoba.
Kipa wa zamani wa timu ya Taifa ya Nigeria na klabu za Moroka Swallows na Plateau United, Greg Etafia naye atakuwa pamoja na Manqoba katika kibarua chake nchini.
Mtaalam wa tathmini ya video mwenye umri wa miaka 21, Yaardan Vaalodia pia atakuwa miongoni mwa wanaounda benchi la ufundi la Yanga.
Valodia amefanya kazi na klabu za Mamelodi Sundowns, Moroka Swallows na Golden Arrowns pia timu ya taifa ya vijana ya Afrika Kusini chini ya umri wa miaka 20.

Основное содержимое страницы с новостью.

By  Mwandishi Wetu

Mwananchi Digital

Mwananchi

Muktasari:
  • Wasaidizi hao ni Kagisho Dicgacoi, Simo Dladla, Yardaan Valodia na Gleg Etafia.

Схожие новости

#Наименование новостиТональностьИнформативностьДата публикации
1Yanga, Simba kuumana Oktoba 10, ratiba ikianikwa hadharani0520-07-2026
2Enosh kutoka ukedi kwenye gofu hadi Tanzania One0720-07-2026
3Селюк: приглашение таких специалистов, как Яя Туре, развивает российский футбол0014-06-2021
4Зидан станет новым главным тренером сборной Франции5714-07-2026
5Талалаев рассказал о функциях Яя Туре в тренерском штабе "Ахмата"0010-07-2021
6Яя Туре вошел в тренерский штаб футбольного клуба "Ахмат"0014-06-2021
7Капитан "Манчестер Юнайтед" Янг покинет команду в конце сезона0016-12-2019
8Защитник «Авангарда» станет тренером команды на «Матче года»0518-07-2026
9Легендарный футболист и тренер возглавит сборную Франции5717-07-2026
10СМИ: Коку сменит Лэмпарда на посту главного тренера ФК "Дерби"0003-07-2019

Классификация: Спорт. Схожих патентов: 0. Схожих новостей: 10. Тональность: 0. Информативность: 7. Источник: www.mwananchi.co.tz.